kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,493
- 18,387
Umesahau hata sisi makolo tumekandwa mara 4 mfululizo.Na sisi utopolo bila zile timu 8 za baba yetu tungekua play off...
Tuweke kwenye idadi tuwe 9 🤣🤣
Umesahau hata sisi makolo tumekandwa mara 4 mfululizo.Na sisi utopolo bila zile timu 8 za baba yetu tungekua play off...
Amka usingizini usije mlowesha godoroNa sisi utopolo bila zile timu 8 za baba yetu tungekua play off...
Usijali wetu mpk sasa ni waana ww huoni kwa sbb mwiko umezidi kichwa....Mbona kama umepanic 😀 Jikaze usilie, ndiyo mpira, Next time fanyeni usajili wa maana
Anza kumuamsha jirani yako....Amka usingizini usije mlowesha godoro
Kama una handkerchief jaribu kujifuta machozi alafu urudie kusema tena, maana naelewa maumivu unayopitia😂Usijali wetu mpk sasa ni waana ww huoni kwa sbb mwiko umezidi kichwa....
Mtu anaeibeza Simba ni mpuuzi.....
Sinajiranoo nimeona uamke weweAnza kumuamsha jirani yako....
Hii ni Titi fo Tati hutaki kaa pembeni
Kwa msaada wa kayoko....Umesahau hata sisi makolo tumekandwa mara 4 mfululizo.
Tuweke kwenye idadi tuwe 9 🤣🤣
Kumbe nimechapiaaa...usajili pumbavuuu... 😆 😆 😆 😆 😆Kama una handkerchief jaribu kujifuta machozi alafu urudie kusema tena, maana naelewa maumivu unayopitia😂
Kwa msaada wa kayoko....
Mara ya 4 tuliwapa zawadi...hamkufunga goli lolote nikukumbushe....
Nyie ma utopwox...
Heee umeongea nini jamani bwa sheeSinajiranoo nimeona uamke wewe
Tyako lako...
Tyako lako...
Tuliza komwe...kwani nyie mmefika wapi...View attachment 3352165
TATU MALOGO FC A.K.A WAPAKWA MAFUTA FC. mmezurula weweeee atimae mmerudi ngamani na mbuzi wenu
Basi sisi makolo tumekandwa mara 3 na 1Kwa msaada wa kayoko....
Mara ya 4 tuliwapa zawadi...hamkufunga goli lolote nikukumbushe....
Nyie ma utopwox...
Hata sisi tushawakanda sana..sema nyie kwa kushikilia jambo mnaweza dhani hamjawahi kukandwa na mnyama tena goli za hatari...Basi sisi makolo tumekandwa mara 3 na 1
Thanks for your feedback ......Nipo ndugu yangu, nilienda shamba kuvuna network shida. Karibu sana.
Polenii sana 🦁🦁🦁🐒!Kulikoni tena Manyani mtani
Ndio tumekutana nayo kwenye ligi kwa kivuli cha udhamini wa GSM?💃💃💃