Huyo namba mbili kwenye list hafai kabisa hata kuwepo chini ya juaHeri SASI
Tatu Malogo
Japhet Smart
Kyombo
Mmepanic kudadeckNa hata Mechi yetu na Yanga SC tunakufa.
GENTAMYCINE hali sio nzuri eeh 😂😂😂Na hata Mechi yetu na Yanga SC tunakufa.
Eti mwamuzi aliyechezesha leo ni nani? Hii mechi sikufanikiwa kuiangalia. Ila nina uhakika atakuwa siyo mmoja wao kati ya hawa hapa;Tumeiona Simba halisi bila Kayombo wala Tatu Malogo
😂😂😂😂 Kamdomoo maniner zenu... Mmekitbeza hatimae mmepata mme.Tuliza komwe...kwani nyie mmefika wapi...
Nendeni mkapeane na ndugu zenu
Mwiko nyuma Fc
Makundi fc
Kayoko fc
Kwani rekodi zinasomaje?Hata sisi tushawakanda sana..sema nyie kwa kushikilia jambo mnaweza dhani hamjawahi kukandwa na mnyama tena goli za hatari...
Akileta Head to Head nitagKwani rekodi zinasomaje?
Inaonekana sisi Makolo tumekwanda vizuri na mara nyingi zaidi
Alisimamia Arajiga mwenyewe.Eti mwamuzi aliyechezesha leo ni nani? Hii mechi sikufanikiwa kuiangalia. Ila nina uhakika atakuwa siyo mmoja wao kati ya hawa hapa;
1. Tatu Malogo
2. Kepha Kayombo
3. Japhet Smart
4. Shomary Lawi
5. Heri Sasii
Mashoga utawajua tuu kumbe wanaume kwa wanaume huwa wanaoana......msyuuu...nyie mume wenu nani alikua Tabora? 3 kwa 1😂😂😂😂 Kamdomoo maniner zenu... Mmekitbeza hatimae mmepata mme.
Wangekuwa ni hao waamuzi wa mchongo, matokeo yangekuwa ni viceversa. Na hapa ndipo ukweli unapo onekana wazi.Alisimamia Arajiga mwenyewe.
Hacheki na wowote
Haibadili nafasi ya dakatri...kukandwa ni kukandwa mr utopolo wa mwiko nyuma....Kwani rekodi zinasomaje?
Inaonekana sisi Makolo tumekwanda vizuri na mara nyingi zaidi
Labda...Simba kakimbia fainali na yanga.
Nimemuuliza GrokAkileta Head to Head nitag
Haibadili nafasi ya dakatri...kukandwa ni kukandwa mr utopolo wa mwiko nyuma....
Kiwetangu una ugonjwa unaitwa rekodifibia....