uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Kipindi cha 3Mods rekebisha chap weka Ft. Simba 1 Singida BS 3 ondoa hiyo Live sasa mnatuchanganya
Kipindi cha 3Mods rekebisha chap weka Ft. Simba 1 Singida BS 3 ondoa hiyo Live sasa mnatuchanganya
Kwahiyo Arajiga nae tumuweke kwenye kundi la akina Malogo, Kefa, Sasii. Au mnasemaje wananchi😎Ni kweli kabisa
Taratibu mnachomoa nyuma mwikoTarehe 15 Yanga ipo na itawafunga vizuri tu
Hilo mnalotaka ati Yanga agome mpate ubingwa sahau
Yanga anakuja kuwafungaa 5imba na shoga yenu Karia na kufyeka kichaka chenu cha tarehe 15
Simba hii hii ya kimataifa ambayo robo fainali kwao ni kawaida?Hivi ndivyo ilivyo Simba refa akiwa fair
Yanga kucheza iyo mechi msahau,,atuwezi kuwa tunalea ujinga ujinga na tunawachekea Hawa wakina mguto na wenzake,,kama wanawapa ubingwa wa mezani acha wawape lakini tunakuwa tumelinda heshima ya klabu!Tarehe 15 Yanga ipo na itawafunga vizuri tu
Hilo mnalotaka ati Yanga agome mpate ubingwa sahau
Yanga anakuja kuwafungaa 5imba na shoga yenu Karia na kufyeka kichaka chenu cha tarehe 15
Tunauchomeka kunako nyuma yakoTaratibu mnachomoa nyuma mwiko
Hizi ni habari njema, sisi tunachotaka mlete timu mtufunge mchukue ubingwa basi, sisi hatutaki points za bure tunataka tuwape ubingwa sisi wenyewe yaniTarehe 15 Yanga ipo na itawafunga vizuri tu
Hilo mnalotaka ati Yanga agome mpate ubingwa sahau
Yanga anakuja kuwafungaa 5imba na shoga yenu Karia na kufyeka kichaka chenu cha tarehe 15
Hizi ni habari njema, sisi tunachotaka mlete timu mtufunge mchukue ubingwa basi, sisi hatutaki points za bure tunataka tuwape ubingwa sisi wenyewe yani
Mmekubali wenyewe kuvua chupi na kuingia geto la maselaHizi ni habari njema, sisi tunachotaka mlete timu mtufunge mchukue ubingwa basi, sisi hatutaki points za bure tunataka tuwape ubingwa sisi wenyewe yani
Top 4 Simba kaishatolewa huko na Berkane. Labda useme top 5Wewe mwanaume kin'gang'a nani kakukimbia mtu mwenyewe mechi za wakubwa huziwezi...Simba hawezi kukukimbia wewe jilishe matango pori
Simba ToP 4 in Africa....
Wanazingua sana...wataiponza ClubTabia hii inakua kwa kasi
Juzi wamemeushia chupa Sowah yani sijui imekuaje
Kolo mmekuwaje tangu mchinjiwe pale Amani mmechuja kabisa.Wakuu,
Leo inapigwa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ni Simba SC dhidi ya Singida BS pale katika dimba la Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara.
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 9:30 alasiri na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
Je, ni Mnyama ama Singida BS nani kumfata Mwananchi katika hatua ya fainali?
View attachment 3351616
😁😁😁Wewe timu gani kwani, Mimi nawaambia yanga walete timu tarehe 15 ili watufunge wachukue ubingwa, maana simba tumekuwa wabovu ndio maana tumefungwa na singida
Mtego gani kushiriki mashindano matatu na mwisho wa siku unatolea macho kombe moja tu huku mawili ukiyaacha.Mtego huu kwa Vyura wajichanganye walete team tarehe 15 waione kazi
Sii mara kwanza kuikimbia yanga.Simba kakimbia fainali na yanga.
Hauna timu 😀😃hili ni kombe la nini tena?
Huyo hamna anachojuaMtego gani kushiriki mashindano matatu na mwisho wa siku unatolea macho kombe moja tu huku mawili ukiyaacha.
Sisi hiyo tarehe 15 mbona tulishaikubali toka ilipotangazwa, ninyi mkicheza ndio mtakuwa mmekubali hicho unachokisema baada ya sitaki nataka nyingi, nasisitiza sisi tunataka mlete timu hiyo tarehe 15 ili mtufunge mchukue ubingwa wenuMmekubali wenyewe kuvua chupi na kuingia geto la masela