FT: Simba SC 1-3 Singida Black Stars | CRDB Bank Federation Cup | Tanzanite Kwaraa | Mei 31, 2025 | Simba yatupwa nje | Singida yatinga fainali

Simba anapokutana na Prison huwa anateseka sana kupata matokeo, Prison nayo ni kigogo wa soka?

Yanga mara zote walipokutana na Ihefu (by then) walikuwa wanateseka sana, Ihefu naye achukuliwe kigogo wa soka kisa huwa analeta ushindani kwa timu moja huku wengine wakijipigia?

Kuwa top four haiwezi kuifanya timu iwe kigogo maana sio kila mwaka nafasi ya nne inashikwa na timu moja ukiacha zile top three ambazo ni Simba, Yanga na Azam mara nyingi.

Kigogo wa soka angalau timu iwe imechukua kikombe chochote cha ligi ama mashindano mengine.
 
Timu ya Jalalani imesha poteza mvuto, timu ina bebwa mpaka wachezaji wenyewe wa Jalalani fc wanacheka.
 
"kama ni mambo yenyewe ni ya rotation bora simba wapite ili tuwe na fainali nzuri"-amri kiemba(jana kwenye sports extra )
 
Yanga mara zote walipokutana na Ihefu (by then) walikuwa wanateseka sana, Ihefu naye achukuliwe kigogo wa soka kisa huwa analeta ushindani kwa timu moja huku wengine wakijipigia?
Yanga huwa hatupendi usumbufu na aibu ndogondogo ndo maana tulivyoona hivyo tukainunua ihefu na kuifanya yanga b
 
Hawa jamaa wameanza na kikosi duni.
Wameikataa Fainali wazi wazi.
🤣🤣🤣🤣
 
Utopolo wanaombea Simba isishinde ili waepuke kukabiliana na utatu wa moto wa Mpanzu, Mutale au Kibu na Mukwala
Tulitamani sana Simba ashinde hii game.
Tuwakande mara mbili.
Ndio maana mmeanza na Kikosi cha kupigwa.
 
Hawa jamaa wameanza na kikosi duni.
Wameikataa Fainali wazi wazi.
🤣🤣🤣🤣
Ulillala na fadlu? Amekuonyesha first 11 ya leo..embu itaje tuone huo uduni wa hio first eleven
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…