FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Kuimba kupokezana, ukicheka ujue kuna kulia pia.
Hongera kwa kuyapokea maumivu.
Mungu ashukuriwe nikiwa na akili timamu nimeshuhudia Yanga SC ikitinga fainali ya CAF confederation cup 2023 & kugaragaza Makolokolo SC 5-1 wala si hadithi za kujifariji kabla sijajua nini maana ya soka "above 18 years" [emoji120]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
7-1 goli la kusawazisha lilitoka kwa Oscar akiwa mchezaji wa Chelsea SC ya UK.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza mgeni rasmi ameondoka shughuli haijaisha
 
Try again, Mangungu na menejiment yote Simba Sasa nyumba inavuja Kazi kwenu!

Watu wa mpira , mashabiki na wapenzi wamesema sana, mkaweka pamba masikioni!



Hongereni watani, ila viongozi Simba wanatuangusha sana!
Umeeleweka vyema sana, kwa heshima yako hii nukuu kaifungulie uzi wake maalum Chifu, ni ombi tu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…