FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Leo unatamba tuu mjini....pacome hatari kawagaragaza vibaya simba hawataki kumuona
Kabeesa. Tumewahi kabla ya muda wa kuanza kulijenga Taifa ili tukawacheke wale waliokuwa na kelele ijumaa. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabeesa. Tumewahi kabla ya muda wa kuanza kulijenga Taifa ili tukawacheke wale waliokuwa na kelele ijumaa. πŸ˜‚πŸ˜‚
Kelele nyingi ukuta wa jeriko sijui nini ukuta wenyewe kila leo una leak magoli....alafu hawa jamaa hawajui mpira sifa nyingi wakati yanga wamesajiri watu bwana!

Mbwembwe tuu oh preason mara dubai sijui turkey 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom