James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Meneja wa baa ya West gate Sumbawanga mjini jana kagawa bia moja moja bure kwa kila mtu anayeingia ktk baa yake kusheherekea ushindi wa Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imekaaje hiiSimba anashinda goli mbili, moja ya goli linafungwa na Baleke
Mpaka mkome...😂Hawana vifua....huku nilipo watu wametandika vitambaa vya njano
Akili KUBWAYanga hata wamuweke golini Mwijaku bado ana nafasi kubwa ya kushinda hii mechi.
Tapeli huyoHii imekaaje hii
Zilipendwa, haukuwa hata umezaliwa.
Vigeugeu hao Swahiba. 😀Nasikia wanamtimua ila aliposhinda kule tanga walimpa sifa,makolo mpira hawqjui
Nakusalimia Ntani. 😀Kufungwa kwa kichapo kikubwa ni kawaida kutokea kwa timu kubwa pale 'game plan' zao zikifeli rejea.
Newcastle 4- 0 Psg
Bayern Munich 8 -. 0 Barcelona
Manunited 8 - 2. Arsenal
Mancity 6 - 2 Man United..
Liverpool 5 -0 Man United
Ujerumani 7 - 0 Brazil
Mancity 4 - 1 Arsenal
Hii ya Simba pia itapita tu japo itabaki kwenye historia.
Mbio za mnyama Simba kubeba ubingwa msimu wa 2023/2024 zipo palepale, Uto...msisahau hilo.
Nipo jamani.. hahah nimekumiss lknNimekukumbuka[emoji7]
Hatuna cha kusema mpaka sasa, muda wenu huu wa kutamba.Nakusalimia Ntani. 😀
Kabisa wacha tutambe tu kwa kweli Mtani.Hatuna cha kusema mpaka sasa, muda wenu huu wa kutamba.
Ndo mgangamale sasa huenda mkabahatisha kuchukua. 😂😂Ila tukichukua ubingwa msimu huu huenda tukafanikiwa kupunguza hii fedheha ya jana.
Pira objective kwisha habari yake 😂Vigeugeu hao Swahiba. 😀
Hilo pira tupa kule Swahiba. 😂😂Pira objective kwisha habari yake 😂