Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mambo mengi mwanangu ila nimekuchekiOya nmekumis mshkaji wangu
Ukijiangalia sshv unaona aibuMimi ni Yanga Ila utabiri wangu unasema Yanga wanasukumiwa moto, Aziz Ki Atafanya jambo nyota yake iko vizuri kesho
π€£π€£π€£π€£Inatosha jmn kheeππ
Hahahaaa. Hii kauli ukiwauliza leo wataikataa. π πWanasemaga goal tano tunawafunga wabovu
Hatujakataa [emoji23][emoji23]
Zitoke wapi Swahiba. π€£π€£Zile ngonjera utege hajawahi kufungwq na Yanga huko kwenu bado zipo swahiba π
π€£π€£Hahahaaa. Hii kauli ukiwauliza leo wataikataa. π π
Naskia kazimia janaYule aliyekuwa anamtaka Gamondi akacheki mazoezi yao sijui ana hali gani huko aliko? ππ