Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengi mwanangu ila nimekuchekiOya nmekumis mshkaji wangu
Ukijiangalia sshv unaona aibuMimi ni Yanga Ila utabiri wangu unasema Yanga wanasukumiwa moto, Aziz Ki Atafanya jambo nyota yake iko vizuri kesho
🤣🤣🤣🤣Inatosha jmn khee🙌🙌
Hahahaaa. Hii kauli ukiwauliza leo wataikataa. 😅😅Wanasemaga goal tano tunawafunga wabovu
Hatujakataa [emoji23][emoji23]
Zitoke wapi Swahiba. 🤣🤣Zile ngonjera utege hajawahi kufungwq na Yanga huko kwenu bado zipo swahiba 😃
🤣🤣Hahahaaa. Hii kauli ukiwauliza leo wataikataa. 😅😅
Naskia kazimia janaYule aliyekuwa anamtaka Gamondi akacheki mazoezi yao sijui ana hali gani huko aliko? 😂😂