FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Meneja wa baa ya West gate Sumbawanga mjini jana kagawa bia moja moja bure kwa kila mtu anayeingia ktk baa yake kusheherekea ushindi wa Yanga.
 
kinachoniuma ni kwamba 3plus ilikuwa na 2.03,imagine over 5.5 ingekuwa na ngapi[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kufungwa kwa kichapo kikubwa ni kawaida kutokea kwa timu kubwa pale 'game plan' zao zikifeli rejea.

Newcastle 4- 0 Psg

Bayern Munich 8 -. 0 Barcelona

Manunited 8 - 2. Arsenal

Mancity 6 - 2 Man United..

Liverpool 5 -0 Man United

Ujerumani 7 - 0 Brazil

Mancity 4 - 1 Arsenal

Hii ya Simba pia itapita tu japo itabaki kwenye historia.

Mbio za mnyama Simba kubeba ubingwa msimu wa 2023/2024 zipo palepale, Uto...msisahau hilo.
 
Nakusalimia Ntani. πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…