Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilale nje, ama nipige pesa?Weka ulale nje
Uwapelekee na zawadiNaitwa mwili obale kutoka Igoma mwanza Naitakia Simba ushindi wa mabao Mawili kwa Moja,
NATUMA SALAMU kwa Rafiki yangu Chesco mzee wa Matunda, Hamiss Full Migebuka kutoka Kigoma bila kusahau baba mzazi baaba Mzee Lawena Nsonda kutoka makongoros Chunya..
Ujumbe: Michezo ni afya na burudani
Muda utaongeaNilale nje, ama nipige pesa?
Acha kunitisha.
Nasikia mchungaji wenu anasema sema nafasi yenu msimu huu ni ya 3.Leo ndo ile siku ya Timu ya Wananchi kukaa kwenye ile nafasi yetu tuliyoizowea.
UsitutanieYoung Africans 0 : 0 Simba SC
Hakuna goli litakalofungwa na mchezaji yeyote kwenye mchezo wa SIMBA NA YANGA
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app