FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, tarehe 05.11.2023 iliyokuwa ikisubiriwa na Watanzania wengi imewadia. Siku ambayo wapenzi wa soka watashuhudia Derby ya Kariakoo, miongoni mwa Derby bora kati ya zile zinazoheshimika barano Afrika.

Mechi hii itaanza muda wa saa 11:00Jioni.

Kaa nami katika uzi huu upate kushuhudia matukio mbalimbali
Ktk siku ambayo nitafurahi timu yangu simba ifungwe ni Leo ili ile sbb kuwa Tinyo tangu aingie nchi hii hajawahi kufungwa na ni master tactician ili timu inacheza Mpira mbovu so viongozi wamejificha kwenye rekodi hiyo so kwa Leo kufungwa huenda watakubaliana nami yule so kocha
 
Yanga, kata mikia hiyo.
 
Simba ikishinda nitaamini hizi mvua Zina baraka za ndumba za msimbazi.
 
.
Screenshot_20231105-130857_Messages.jpg
 
Back
Top Bottom