FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Nilichojifunza kwa hii wiki nzima iliyopita maumivu ya zile 5 hayachagui std 7 wala PhD holder, yaani wote wameshindwa kabisa kujicontrol ukisoma post zao huwezi kutofautisha nani ni nani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€šπŸΏπŸ€šπŸΏπŸ€šπŸΏ credit by slim Daddy
 
Comment za wadau mitandaoni.

"Mimi si shabiki wa Yanga ila kwa bango hili nasema huu ni upuuzi uliovuka mipaka.

Aliyeleta wazo ni mjinga, aliyelikubali wazo ni mpuuzi na aliyetekeleza ni mpumbavu. Issue kama izi zinaweza sababisha soka uwe ni mchezo wa uadui badala kuwa mchezo wa urafiki.

Kuifunga timu ya 8 kwa ubora barani Afrika siyo mchezo kusema ukweli inabidi [emoji2539][emoji103][emoji2539] tutengeneze mpaka shuka za kumbukizi.

MGUMBA AKIPATA MIMBA ATATEMA MATE KILA MAHALI ILI TU AONEKANE."

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…