MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Unasema?Salamu,
Leo Tarehe 5 Novemba 2023 itabaki katika Historia y maisha ya Soka ya Mshambuliaji kinara wa Tanzania John Rafael Boko. Pale ambapo atapeleka kilio Kwa Yanga pale Kwa Mkapa!
Tukutane saa moja na robo jioni !
sawa tumesikia
Tuanzishe thread kuomba mods wafanye hivi.Huu uzi uwekwe kwa sticky hapo juu iwe rahisi kuuona
Baadae ikawajeMimi ni Yanga Ila utabiri wangu unasema Yanga wanasukumiwa moto, Aziz Ki Atafanya jambo nyota yake iko vizuri kesho
[emoji23][emoji23][emoji23]Matako ya masikini yanalia pwata-pwata
Hakika ni kumbukumbu ya kitaifa nami nimepata tabu kwelikweli kuufukua. Ila mtafutaji hachoki na nikaupataMods wekeni sticky huu uzi, tunapata tabu kuutafuta maana hii ni kumbukumbu ya kitaifa.