MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Unasema?Salamu,
Leo Tarehe 5 Novemba 2023 itabaki katika Historia y maisha ya Soka ya Mshambuliaji kinara wa Tanzania John Rafael Boko. Pale ambapo atapeleka kilio Kwa Yanga pale Kwa Mkapa!
Tukutane saa moja na robo jioni !