FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Simba wakiuona huu uzi pressure inapanda
We umezaliwa lini mkuu? Kwani hujawahi kuona timu inafungwa hadi sita na wanasahau? Mfano mzuri tu ni mwaka 2012 Yanga alipokandwa 5, 0 na Simba lakini watu tulishasahau na tunaendelea na maisha mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…