Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
GAMONDI is a professional coach, ameenda uwanjani kuangalia Makolokwinyo wakicheza unategemea Nini?
Leo ni kichapo tu Cha mbwa Koko! Yanga 3 - Kolowizard Mbumbumbu Simba fc 0! Hiyo imeeeeeeeenda!
Hatutaki lawama za refa Simba itakufa kiume Tena Leo kama kawa, mkandaji mkubwa wa kwanza ni Feitoto Kwa bao lake la uchungu kule CCM Kirumba lililowalaza Simba na viatu huyo Kibu alibahatisha tu Yanga ikiwa haiko mchezoni na Leo atakutana na Ibra Bacca ambae mechi Ile hakucheza tutaona jinsi Kibu D atarukaruka tu uwanjani kama maharage!
Yanga ni baba wa boli Tz Kwa Sasa namuona Max Nzengeli akifungua booster zaidi leo, makolo watamkoma!
Aziz Ki ana goli mbili za faulo! Leo kama sio Yanga 5 - Simba 0 sijui labda refa akatae magoli kama kule Mkwakwani na Leo hatukubali ujinga wa marefa kuibeba Simba!