FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Hii game itaisha mapema kama yanga watacheza kama mechi zao zilizopita kwa kuacha nafasi wakiwa hawana mpira mapema tu wanakufa wasipoangalia watasababisha na tuta .
 
Utopolo wana points zetu 6.
Makolo ndio ngazi yetu ya kubeba ubingwa wana point zetu 6 na hatuziombi tunazichukua kwa nguvu , tatu tunazichukua Leo.

Ninavyoijua Yanga kwa masifa Leo Mnyama atachinjwa hadharani na kisu butu na hakuna kusema Bismillah!

Makolokwinyo watalia sana Leo kwa kipigo Cha mbwa koko watakachopewa, nilimuona Mwanyeto Azam Tv akizungumzia kwa hasira ile mechi Kibu Simba alishinda na mwamba anajua uzembe wa Kila goli walilopata mbumbumbu!
Kibu D hana lolote wanamchosha bure kumjaza masifa wakati alibahatisha tu, leo atarukaruka tu kama maharage na hataonekana!!

Chonde chonde Leo nyuma iwe Diarra, Yaoyao, Bacca, Nondo na Job ukuta wa Berlin ambao takwimu za soka zinasema kuipasua ni lazima iwe uchawi wa Pemba tu!! Ni ukweli kuwa ukuta huu umeruhusu goli chache kwa msimu wa tatu Sasa!

Leo hapatoshi , mvua imekomaa ila kichapo kwa makolo kiko pale pale!
 
Timu ya Simba, inatarajiwa kushuka Dimbani kuvaana uso kwa uso na mtani wake wa jadi, Yanga kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara kuanzia Saa 11 Jioni, leo Novemba 5, 2023

Michezo mitano iliyopita ya Ligi baina ya timu hizo kila upande umeshinda mchezo mmoja na sare zikiwa ni tatu

Yanga ambayo itakuwa mgeni katika mchezo huo ipo nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi na alama 18 katika michezo 7 huku Simba ikiwa nafasi ya tatu kwa kuwa na alama 18 ikicheza michezo 6, Azam FC inaongoza ikiwa na pointi 19 katika michezo 9

Unadhani upande gani utatoka na furaha kwa Mkapa?
 
Hii game itaisha mapema kama yanga watacheza kama mechi zao zilizopita kwa kuacha nafasi wakiwa hawana mpira mapema tu wanakufa wasipoangalia watasababisha na tuta .
Matuta mawili Yanga watapata kupitia Max Nzengeli ambae kutokana na talent yake kubwa atakosa beki wa kumkaba Simba watamchezea rafu mbili za penati.

Na kwa vile Yanga tumeshasema hatutaki tena kuona wala kusikia ujinga wa marefa kujikosesha ulaji CAF kwa kuchezesha mpira hovyo Ili kuibeba Simba mbovu, Leo Mkapa refa akizungua tunagomea mechi tunarudi kambini, hatutaki ujinga Simba kupewa hadhi wasiyostahili kupitia mgongo wetu, hawa Makolokwinyo ni underdog, ni level sawa na timu ndogo zingine wasindikizaji kwenye ligi zote kinachowabeba ni promo na bahasha, Simba ni mabingwa wa kucheza nje ya uwanja na Leo Yanga hatutaki ujinga na hatutavumilia refa akiwabeba tunawaachia uwanja wa Mkapa wacheze wenyewe!!
 
Hii game me naona Yanga ikiibuka kwa ushindi wa 2 bila.
Kipindi cha kwanza Yanga itapata goli moja kupitia kwa Max nzengeli mpia.

Kipindi cha pili Simba itapata penati lakini kipa ataitoa.

Dakika za lala salama Yanga itaandika bao la pili kupitia kwa mchezaji wake Walidi Mzize.

Kiufupi Simba 0 - 2 Yanga.
 
Simba nipigie hao utopolo....Simba Nguvu moja[emoji109]View attachment 2804101
Tumewazoea, hivyo hatuwashangai
JamiiForums-2017337500.jpg
 
Back
Top Bottom