FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Babe makaveli10 nakusalimu kwa jina la jamuhuriπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
No way tunaweza kurudisha hizi goli 5 kwenye hizi dakika zilizobaki, nadhani busara ni kulinda tu zile 5 zisirudi. At this point nyuma kwa goli 3 tunapanda wote kutafuta nini.?
 
MAKOLO YAMEKIMBIA BANDANI KAMA MABATA
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Haya mabadiliko yatatupoozesha, timu ilishakaa vizuri.
 
Hawa ndio mashabiki wanaosema wako humble hawana makelele, kwamba yanga ikishinda mji unakuwa kimya, na haya makelele ni ya mashabiki wa timu gani
 
Aloooo itoshekusema Simba tunawachezaji wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…