FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Babe makaveli10 nakusalimu kwa jina la jamuhuriπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
No way tunaweza kurudisha hizi goli 5 kwenye hizi dakika zilizobaki, nadhani busara ni kulinda tu zile 5 zisirudi. At this point nyuma kwa goli 3 tunapanda wote kutafuta nini.?
 
MAKOLO YAMEKIMBIA BANDANI KAMA MABATA
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa ndio mashabiki wanaosema wako humble hawana makelele, kwamba yanga ikishinda mji unakuwa kimya, na haya makelele ni ya mashabiki wa timu gani
 
Back
Top Bottom