Treinaaahhhh π€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έ!!Aibu yao wenyewe rafiki. π€£π€£
Hilo ndo la msingi Ila sio mbaya tutakua TUMELIPA zile 4 zetu za FANo way tunaweza kurudisha hizi goli 5 kwenye hizi dakika zilizobaki, nadhani busara ni kulinda tu zile 5 zisirudi. At this point nyuma kwa goli 3 tunapanda wote kutafuta nini.?
Kazi iendeleee..Babe makaveli10 nakusalimu kwa jina la jamuhuriππππππ
Wataanza kuwa na adabu
Ukuta wa YerikoHii aibu uwajibikaji unapaswa kuanzia viongozi kwanza! Hii aibu ilikuwa ni swala la muda tu! Game kadhaa defense imekuwa ovyo kiasi cha kupona kwa kudra.
Asante mkuu ndo hivyo πPole sana mtani, hilo ndio pira sasa.... tuseme wote "zis iz thimba"π€£π€£
Yenu ilichezaKitimu kilichoshiriki AFL π€£π€£