FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Simba wameingia kwenye mfumo wa Yanga...namna gani pale

Hapana chezea pira Gamondi
 
No way tunaweza kurudisha hizi goli 5 kwenye hizi dakika zilizobaki, nadhani busara ni kulinda tu zile 5 zisirudi. At this point nyuma kwa goli 3 tunapanda wote kutafuta nini.?
Hilo ndo la msingi Ila sio mbaya tutakua TUMELIPA zile 4 zetu za FA
 
Back
Top Bottom