FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

nyuma mwiko mkuu
Screenshot_20231105-111946~2.jpg
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, tarehe 05.11.2023 iliyokuwa ikisubiriwa na Watanzania wengi imewadia. Siku ambayo wapenzi wa soka watashuhudia Derby ya Kariakoo, miongoni mwa Derby bora kati ya zile zinazoheshimika barano Afrika.

Mechi hii itaanza muda wa saa 11:00Jioni.

Kaa nami katika uzi huu upate kushuhudia matukio mbalimbali
Kwanza kabisa mashabiki wote tuiombee timu yetu pendwa
Yanga african sports clubs
Tuiombee ushindi dhidi ya simba sijui ni simba pori au simba la mjini
Tuiombee kheli ya ushindi maana ndio timu ya binaadamu wote bila kujari anatokea Taifa gani
Ushindi uwe kwa timu ya Yanga
Wote semeni Amina
Simba watajijua wenyewe lolote liwakute maana hakuna jinsi
 
Utupe matukio sio unapotea
 
Simba mvua simba La majini
 
Back
Top Bottom