Ila kiukweli kabisa yule Inonga achunguzwe, kufungwa ni kawaida lakini huyu beki ni tapeli anauza timu.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafa 5 kwa moja 😆Hivi huyu ndiye aliyecheza na al ahly [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 wamejikaanga.Hahhahahha kumbe ndo tatizo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😆😆😆 Watu wanalia kwenye mitaro leoSimba hapati hata goli moja matokeo ni Yanga 2-0 au Yanga 1-0 Simba watalia watu kwenye mitaro leo
Ndo huyoo huyoooo bwahahahahahahahahah!!Hivi huyu ndiye aliyecheza na al ahly [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]