Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hongereni sana ,leo mmeokota dodo chini ya mpera ....Tunacheeka kwa dharaaau. ๐ ๐ ๐
Bantu Lady pokea maua yako ๐ฅ๐ฅ๐น๐บ ๐น๐บ๐น
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongereni sana ,leo mmeokota dodo chini ya mpera ....Tunacheeka kwa dharaaau. ๐ ๐ ๐
[emoji870]Kibu kawabinua......hahahhahah nimependa sana hata kama tumepoteza
Mdomo umewaponzaHii ni aibu ya mwaka, ndio mpira ulivyo tukubali tu wanasimba wenzangu leo wametuotea.
๐คฃ๐คฃ๐คฃKwani shem Shimba ya Buyenze ww ni timu gani? Au mchangia popote...
Wazee wengi hawakimbiii. Kapombe, Hussein, chama, saido wote hao ni hewa.Ila kiukweli kabisa yule Inonga achunguzwe, kufungwa ni kawaida lakini huyu beki ni tapeli anauza timu.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Dah....utabiri wako utatimia.Utabiri wangu: Leo simba tutafungwa goli za kutosha. Na baada tu ya kufungwa, uongozi wa klabu utamtimua kocha Robertinho.