mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Unawaza???Hii wiki itakuwa ngumu sana kwetu mashabiki Simba kmmk
Mie hata sishtuki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawaza???Hii wiki itakuwa ngumu sana kwetu mashabiki Simba kmmk
Kamtafute mama JKwa hasira naenda kutafuta mshangingi wa Yanga nalipiza 5 huku
vip upo haiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani shem Shimba ya Buyenze ww ni timu gani? Au mchangia popote...
Sina neno, Goli 5 ni nyingi sana
Shukran Mtani. 🙏
Walisema Robertinho hajawahi fungwa na YanagEndelea kupiga kelele mtachagua wenyewe kocha mnafukuza liniView attachment 2804984
Taka usitake huo ndio ukwel kosa la kochaManula sio wa kulaumiwa leo, team nzima inahusika kwenye haya matokeo.
Tuna timu ya kawaida sana timu kuanzia kwenye namba sita kurudi nyuma wote ni wabovu nashindwa kuelewa kwanin ngoma anacheza kweny base ya chini wakati hawez kabisa kukaba kapombe shughuli yake imeishaHongera sana mtani! Dah ila goli 5 nyingi sana... Simba forever!
Utopolo wana mwezi mzima wa kutamba na kutubeza humu jamvini.Ukisikia utopoooolooooo pro max ndo huu
YAAANI APOOO BAADOOOOOOODj piga wimbo wa ...Naipenda Simba mshabiki wa damuuuu....
Mpaka iniueeee
Mimi ni mtu na nusu.....kwenye shida na raha nipo na timu yangu....vip upo haiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]