FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Asiekubali kushindwa si mshindani mmestahili na wachezaji wenu wamevuja jasho kweli kweli hii game Naona viongozi wa gongowazi walijiandaa kisawa sawa waliitaka hii match all in all CEO kajula jitathimini kwa hii fedheha kwa wanasimba pili Kocha wetu jitathimini pia maana ulimkataa Mgunda na ukapewa kila hutaji lako lakini mwenendo wako haulizishi kabsa . Ngoja nivute shuka maana huku mtandaoni ni pachungu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…