Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mkuuumeelewa ulichokiandika Mkuu?
uyo safari imeivaa hawezi kutoboaKocha hakuna pale nitaacha kushabikia Mpira kama huyu Kumaa la mama ake akiendelea kuwa kocha.
Sina raha kabisa hiki kipigo tulichopigwa ni cha mbwa mwiziUnawaza???
Mie hata sishtuki.
Yao ya kitambo, yetu mpya kabisa ni marufuku kutumia ile outdated wakati updated ipo
Utahangaika sana kumtafuta mchawi. Kesho vikao vinaanza kumpiga kocha chini. Mbona husemi alivyosema kikosi cha YANGA B ndio kichezeHuyu bwana ni mtu haswa,ni kama alitabiri na akatoa vikosi viwili apa vya Simba na sikumuona manula
Teh teh teh 😂😂😂 utani wa ngumi huu.Naishukuru timu yangu simba tumekufa kiume
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina raha kabisa hiki kipigo tulichopigwa ni cha mbwa mwizi