FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Tuliwabia tangu TANGA, ROBERTINO SIO KOCHA..



BOARD MAKINI ilipaswa kumpiga chini mapema kabisa
Tatizo la simba siyo kocha,bali tulifanya usajili wa hovyo wa wachezaji.
 
Mpira utarudiwa lini kwa faida ya sie ambao hatujaangali????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39]
 
HAwa mbwa wametufunga hata huruma hawana....
ko unataka nambia zile tuhuma za yanga kununua mechi si kweli, yanga kutoa bahasha nazo ni za kupuuzwa
sio kweli mpira tumezidiwa kabisa refa makosa yake ni madogo madogo sana goli zote nne za yanga ni za uwezo mfano angalia goli la pili la max kapiga katika ya mabeki assist ya mzize ni uwezo kamchukua beki umbali mrefu kamuwekea max katupia goli aziz ki goli za uwezo yule zizou mpira kipaji hamna bahasha tukubari tu tumezidiwa.
 
kiingereza kiheshimike, mtangazaji anatoa nafasi ya kuuliza swali kwa kocha wa simba wote kimya

ingekuwa kiswahili, wachambuzi mdomo sasa jinga sana
Lugha ya mfalme Charles inahitaji ujipange ili kuitumia...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa SIMBA semeni ukweli sisi YANGA tutakapokua tunacheza na Al Ahly mutashabikia wapi?

YANGA best African team
Al Ahly[emoji3059],

Siwezi shabikia uto hata kwa bakora[emoji419][emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…