FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Utopolo wana mwezi mzima wa kutamba na kutubeza humu jamvini.

Ila haina noma, ndio hivyo ishatokea, tutavumilia tu.
Sio mwezi tu. Labda January tusajili wachezaji muhimu wa maana tuwakande za kutosha ndo kutatulia. Sasa hiv ukiongea kidogo unaambiwa 5G.
 
Swahiba Mgagaa na Upwa uko wapi? 🤣🤣
Nipo swahiba,makolo wamechezea mkono saaafi
IMG-20231105-WA0009.jpg
 
MY YOUNGER AS ALWAYS [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120]
 
Maskinin akipata, ............................. Ni ushamba tu wa mashabiki husika kudhani kwamba timu yao ni bora kwa kuwa imeshinda kwa goli 5-1. Wanaojua mpira wanafahamu hilo si la ajabu ni suala la failed game plan kwa timu iliyoshindwa! Hata kama timu ikiwa bora namna gani, ikija na "inappropriate game plan" lazima iadhibiwe!! Kitaalam ni kwamba kocha wa Simba amekuja na game plan isiyo sahihi kwa mechi hii. Huwezi kulaumu wachezaji, huu ni mzigo wa kocha!!

Lakini pia haikuwa sahihi kwa kocha kumwanzisha Manula aliyekuwa majeruhi kwenye mechi kubwa kama hii!!
 
Robertinho ni bonge la kiazi kila mechi anaruhusu bao , hafai hata kwa bure..
 
Kocha sijuiatatuambia nini tumuelewe msimu wa dirisha dogo simba kama watasajili upuuzi ndo itakua mara ya kwanza na yamwisho kushabikia simba na mpira wa bongo kwa ujumla
Kunapokuwa na nyakati za furaha ujue kuna za huzuni zitakuja. Leo zamu yetu kuhuzunika. Usikimbie timu.
 
Yanga imedhihirisha ukubwa wake Kwa Simba khamsa za Leo si kitoto japo mi niliziona na nilisema kwenye Uzi wa mechi kabla maana Simba walizidi mdomo!

Simba imeendelea kupokea makombe ya kufa kiume kama nilivyotabiri

Salam mpya mjini ni khamsa!
Na Bado!
 

Attachments

  • VID-20231105-WA0025.mp4
    3.4 MB
Back
Top Bottom