FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Kwahyo ndio maana wanakuwa wanatawaliwa sana?!
Ukikaba kwa kuzia nafasi maana yake haumfati kumkaba mtu moja kwa moja anapokuwa na mpira badala yake munaondoa mianya ya muendelezo wa pasi za mashambuli na mnanyang'anya mpira pale ambapo adui amesogea zaidi na hana machaguo mengi ya kupeleka mpira.

Kwahiyi ni lazima adui aonekane kukaa na mpira kwa muda mrefu( umiliki mkubwa) ambao kimsingi unakuwa ni umiliki usio ma faida.
 
Kilichotokea ni kwamba Manula hakuwa na match fitness. Hiyo ilisababisha afungwe mapema!! Lakini muda huu atakuwa amesha-gain match fitness, wasitegemee kumfunga goli tena!! Tunashukuru mgeni rasmi alijibu mapigo faster!!
 
Back
Top Bottom