FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Simba watafute kocha mzuri muumini wa kuuchezea mpira tuwe tunashuhudia derby nzuri, sio hili kocha lao la kupaki bus upuuzi mtupu.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Tafuta hela uanzishe team yako utafute na kocha mzuri wewe mwenyewe.

Robetinho kaletwa na wenye hela za na ndio hao wanaweza kumtoa ama lah 😁
 
Upande wetu wa kushoto bado siulewe, Lomalisa leo sijui kaamkaje!!
Huyo pimbi sijawahi kumkubali hata siku 1, ujinga wake huwa anataka kukaa na mpira na mzito na akishanyang'anywa tu wala huwa haangaiki kabisa kukaba.

Anatakiwa ajifunze kwa Aziz Ki alikuwa hivyo msimu uliopita ila sasa hivi kajitekebisha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom