FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Sisi simba kuanzia mashabiki viongozi mpaka wachezaji wote sisi tumezeeka ni mwiko utopolo kutunguka goal nyingi hivi
 
Namtafuta KALPANA wangu, game imeisha sijui katokea mlango gani?
Yeyote atakae muona mwambie niko hapa Imasco namngoja.
FB_IMG_1693920839386.jpg
 
Tangu ROBERTINO atue SIMBA cjawahi kuwa na imani naye....

Shame to BOARD of simba
 
Yangaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]nyie nimepitwa sana hii yangaaaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]huku mtaani kwetu ni ndelemo na vigijo jamani[emoji4]
 
Back
Top Bottom