Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Pongezi kwa timu ya Yanga, hakika mlistahili ushindi.
Kocha Robetinyo Ajiuzuru haraka Sana.
Kabla sijakasirika
Kocha Robetinyo Ajiuzuru haraka Sana.
Kabla sijakasirika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi amini hapa Clement Mzinze alipita na Akatoa Assists ya Goal, this Humiliation is Sensational..!!Acha ujinga
[emoji23][emoji23][emoji23]jmn[emoji23][emoji23][emoji23] alifura kichwa baada ya kuambiwa ye ndo mgeni rasmi. [emoji23][emoji23]
Mwamedi amechanganyikiwa huko ukoloniJana ilikua tarehe ngapi???????
AahaaaaaHuwezi amini hapa Clement Mzinze alipita na Akatoa Assists ya Goal, this Humiliation is Sensational..!!
Beki alieweza Kumficha Percy Tau Kashindwa Kumkaba Clement Mzinze [emoji23][emoji23] wakamiaji fcView attachment 2805711
Le Madam kwa furaha uliyonayo toka jana, i wish ningekuwa na namba yako!!Jana ilikua tarehe ngapi???????
Yaniii sio kwa mvua ya magoli ile!Le Madam kwa furaha uliyonayo toka jana, i wish ningekuwa na namba yako!!
Sawa tumekusikia
Au sio 😂😂😂 Mziki mnene umeuona sasa
Kisha naye akaliwa vitano 😄I
Ni kweli ila naye kawalaa
Kisha naye akaliwa vitano 😄I
Ni kweli ila naye kawalaa