FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Pongezi kwa timu ya Yanga, hakika mlistahili ushindi.
Kocha Robetinyo Ajiuzuru haraka Sana.
Kabla sijakasirika
 
[emoji3578] “Ukweli usemwe, ushindi wa bao tano dhidi ya mtani si kila timu inaweza. Hii ndo Yanga ya Dkt Samia, Tupewe maua yetu, na huu ndio mwendo wetu mpya. Hongereni sana Wananchi kwa ushindi wa kishindo dhidi ya mtani.” WAZIRI WA Fedha

Dkt Mwigulu Nchemba.

#KitengeSports
1699258323436.jpg
 
Back
Top Bottom