FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

Musonda baba laaaooo
Max baba laooooo
Azizi Ki baba laoooo
Pacome baba laoooo
Hersi baba laooo
GSM baba laooooo
Yanga chama laooooooo

Mzuka ukipanda hili shati navuaaa
Jamani navuuaaaa
Mwenzenu navuaaaaaaa
 
Germany ilipoifunga Brazil goli 7 haikufanya huu upuuzi. Simba ilipombamiza Yanga 5 - 0 haikufanya huu upuuzi. UPUUZI HUU HUFANYWA NA TIMU YA WASIO NA AKILI TU.
Kila jambo na nyakati zake, mmoja anaweza kugraduate akaweka degree na picha yake kwenye fremu kabisa mwingine anaweka kwenye bahasha. Kupanga ni kuchagua.
 
Athari tunaziona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kosi la CHAN
20231113_130451.jpg
 
Back
Top Bottom