Wengine wanasema "Hamjasema, mpaka mseme"Comment za wadau mitandaoni
"Mimi si shabiki wa Yanga ila kwa bango hili nasema huu ni upuuzi uliovuka mipaka...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine wanasema "Hamjasema, mpaka mseme"Comment za wadau mitandaoni
"Mimi si shabiki wa Yanga ila kwa bango hili nasema huu ni upuuzi uliovuka mipaka...
Kabiisa. 😂Safi sana, waweke matangazo mpaka pale Msimbazi
Kila jambo na nyakati zake, mmoja anaweza kugraduate akaweka degree na picha yake kwenye fremu kabisa mwingine anaweka kwenye bahasha. Kupanga ni kuchagua.Germany ilipoifunga Brazil goli 7 haikufanya huu upuuzi. Simba ilipombamiza Yanga 5 - 0 haikufanya huu upuuzi. UPUUZI HUU HUFANYWA NA TIMU YA WASIO NA AKILI TU.
Yanga ndio WA kwanza wengine wataigaGermany ilipoifunga Brazil goli 7 haikufanya huu upuuzi. Simba ilipombamiza Yanga 5 - 0 haikufanya huu upuuzi. UPUUZI HUU HUFANYWA NA TIMU YA WASIO NA AKILI TU.
Kwanini uwafundishe kazi mods wa Jf?Mods weka huu uzi pinned hapo juu.
Maelekezo kutoka juuKwanini uwafundishe kazi mods wa Jf?
Maestro Vs Amateur
Maji yanayotoka mto Msimbazi ndo yanayojaza Jangwani
Kila la heri Mnyama [emoji881][emoji881]
Sasa Waoneeni huruma MandundukaHuu uzi utakaa mpika siku 40 ndio tuna anua matanga
We ni Ndunduka?Germany ilipoifunga Brazil goli 7 haikufanya huu upuuzi. Simba ilipombamiza Yanga 5 - 0 haikufanya huu upuuzi. UPUUZI HUU HUFANYWA NA TIMU YA WASIO NA AKILI TU.
Unafungwaje 5 na watu wasio na akili banaGermany ilipoifunga Brazil goli 7 haikufanya huu upuuzi. Simba ilipombamiza Yanga 5 - 0 haikufanya huu upuuzi. UPUUZI HUU HUFANYWA NA TIMU YA WASIO NA AKILI TU.
Daraja la Manzese tumewafikia, wale wa Furahisha Mwanza tunakuja.Zanzibar, Arusha na Mwanza tunahitaji mabango ya 5G