FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Simba wakichangamka kidooogo wanapata goli 2 za haraka haraka. Like wamerelax itawa cost
 
Daaaaaah tunakosajee vileee, nakerekwaa mie
 
Mpanzu angelus na nguvu za kupiga kama Aziz angekua hatari sana
 
Huu upuuzi wa kulilia penalt, siutaki kabisaa.
Watu wachezee na wafunge mabao ya kawaidaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ