FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Yani kwahilo tope kipa ajiroge kudaka kwa kuulalia mpira unateleza unamponyoka uleeee mpinzani anafunga walahi
 
Jamaniii nyie wachezaji wa 🦁, mda unaenda hivyo, em wekeni la 3 na watu tutambee zetuu.
Woiiiiih
 
Jamaniii nyie wachezaji wa 🦁, mda unaenda hivyo, em wekeni la 3 na watu tutambee zetuu.
Woiiiiih
Bado sana mpira haujaisha utafurahi mpira ukishaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…