Nakuona Mtani kule kwetu hiyo style hapo wanaita kuchobeya. 🤣🤣🤣Dua zote za heri ziende kwa Simba Sports, Hii tunavuka🦁🦁🦁 Tukutane baada ya dakika 90
Jioni tutakuwa na tafrija🔥🔥
View attachment 3297287
Kuchobeya ndio kuchomeka kwa lugha gani hiyoNakuona Mtani kule kwetu hiyo style hapo wanaita kuchobeya. 🤣🤣🤣
Okeee.Simba inashinda na kusonga mbele. Wazee wa duwah mbaya a.k.a mabaunsa uchwara Leo lazima usingizi wao uwe wa maruwe ruwe na utajaa majinamizi!
Yah! Kwa tunavyomjua mwasibu hii msg yake imeonyesha kabisa hana uhakika wa kusonga mbele.Mwasibu umeandika kinyonge sana. Ni kama umekata tamaa kabisa.
😂😂😂Imekulamba tayari ushaona kinachofuata ni nini kukandwa tena nyingine mkiwa hapa hapa hata mkimfuata Mwiposa ili mpakae mafuta uwanja mzima ili Al Masry wakikanyaga wateleze bado hamtoboi
Hakika hesabu ka hizi ndogo ndogo huwa anazipatiaga sana yaani. 🤣🤣Ukiona hivyo basi ujue alishapiga kitambo zile hesabu zake Kihasibu.
Mzab kwenye ubora wako. 😂Demu yeyote wa simba aje hapa taifa tuangalie boli hakika leo ndio ile siku yetuu ya kutinga semi final.
Uje nanuzuri wako tuu vingine vyote nahudumia
Twende tukacheki mechi.. nyie sij mlishamaliza mwendoMzab kwenye ubora wako. 😂
Mzab we nae hapo kuna kitu gani kimechomekwa sa? 😂😂Kuchobeya ndio kuchomeka kwa lugha gani hiyo
Ah atachomekaje hadharaniMzab we nae hapo kuna kitu gani kimechomekwa sa? 😂😂
Acha unafiki mkuu, unataka tufungwe za kutosha.Matokeo yoyote yasiyo ya sare yatanisikitisha.
Sitaki 5imba afungwe, lakini pia sipendi ngebe zao.
Tunaweza shinda lakini sio kwa aggregate ya kutosha sisi kuvuka kwenda nusu fainaliMechi ya Maamuzi hii baada ya kipigo cha bao 2-0 ugenini mkondo wa kwanza.
Mnyama Simba SC dhidi ya Al Masry SC mechi ya mkondo wa pili ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
⏰ Mchezo huu unapigwa saa 10:00 Jioni
🏟️ Uwanja wa Mkapa
Aah. La kwenu hili Mzab.Twende tukacheki mechi.. nyie sij mlishamaliza mwendo
Leo simba anashinda na kutinga final. Tena mwaarabu anakufa 4.Aah. La kwenu hili Mzab.
Mie nawasubiria kwenye Tv tu hapa.
Ndio ndio mkuu 😂Umefunguliwa
Anapigwa tuu mwarabu mweupe kabisaaaa wale ni kengold waliochangamka. Kafa al ahly nesho ndio itakuwa huyu bwege
Ken Gold 1-1 SimbaAnapigwa tuu mwarabu mweupe kabisaaaa wale ni kengold waliochangamka. Kafa al ahly nesho ndio itakuwa huyu bwege