FT: Simba SC 2-0 Geita Gold | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 31-08-2026

Simba hii unaiangalia ukiwa na Paracetamol na Valium mkononi...

Chama anatumika kuliko mahitaji yake kwa sasa, anahitaji mtu wa kusaidiana naye kwenye hiyo zone 14.. dakika 90 zinampalia yuko active siyo zaidi ya dakika 40..
Striker ni hakuna anayeeleweka kwa timu kama Simba, hiyo zone 17 huwa kuna vivuli tu vinasimama..
 
Wait and watch kabumbu
 

Leo mwanetu Doumbia kaanzia nje.
 
Naomba kikosi cha Geita Gold
 
Libaseeeee....
Imekataliwa pale
 
Simba wana nguvu sana.
Wanacheza poa sana
 
Anakwatuliwa mtu ndani ya 18.
Refa anapeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…