FT: Simba SC 2-0 Geita Gold | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 31-08-2026

Of course mie ni mwananchi ila Mnyama leo anatakata, hii ndio soka, burudani, msumari wa pili umepigwa kiufundi na ustadi wa hali ya juu.
 
Bado SCORING techniques """...
Kwa dominance yao wangeweza kufunga 3-4:goals.. ..lakini wanakosa mpango wa namna ya kujipanga Ktk box..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…