mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Umenena. Kulilinda ni mtihani.Shida inakuja kwenye kulilinda hilo goli, hawachelewi kutoa GG hawa.
Madunduka BwanaOnana ni striker, yule mbrazil alikuwa hajui jinsi tu ya kumtumia vizuri.
Gongowazi unaumia pande zipi...Madunduka Bwana
Litarudi😂😁Onanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
Kituuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, wayaaaaaaaaaaaaa.
Hallah [emoji881]
Naunga mkono hojaBado kujipanga ni shida kwa beki zetu. Ila tutafika tu
Sawa haina shidaLitarudi😂😁
Mtani nimeandika nikiwa nimelewa😂😂😂😁Sawa haina shida