Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
🤣😂😂😂😂😁😁naona mmekoswa koswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpo pungufu kivipi mkuu?Hata hivyo tumejitahidi yani tupo pungufu lakini tumecheza hivyo??
Phiri akiwekwa benchi mnasema kwa nini hapangwi. Akipangwa mnasema kwa nini amechezeshwa wing. Kwa ufupi mashabiki wa kizazi cha Manara kuwa msemaji wa timu hizi hamkosi lawamaHatari...sijaelewa moses phiri kichezeahwa winga jamani ebu nisomesheni hapo maana naona mule kama anacheza kinyonge sana
Una kadi namba ngapi?Mimi Simba hadi Kadi nnayo
Naunga mkono hojaMwalimu Bechikha bado ana kazi ya kufanya, hii simba inakatisha tamaa. Wachezaji ni wazito ajabu halafu hawana stamina kabisa aisee
Yule ni forward siyo center forward ( striker) , forward anaweza kucheza winga ya kulia (7), kushoto ( 11), mshambuliaji wa kati (9) au kiungo mshambuliaji ( 10) ( second striker) kwa hiyo siyo tatizo.Hatari...sijaelewa moses phiri kichezeahwa winga jamani ebu nisomesheni hapo maana naona mule kama anacheza kinyonge sana
🤣😂😂😁😁 Naunga mkono hojaTatizo la kila siku kwanini wachezaji hawajitumi, hawakabi kabisa ( wanakabia macho )....hakuna muunganiko timu inajitafuta each and every day, Ni Kama wachezaji wanatulia kusubiria jina la SIMBA liwabebe hii sio sahihi.......Alafu ule upande wa kapombe mbona Kama karibia kila gemu Kuna makosa mengiii.......kapombe na uzee wake atajitahidii weeeee!!! ila mwisho wa siku makosa kwenye upande wake lazima yotokee tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ngoma kwa jinsi anavyotumika kwa kila mechi na kapombe, kuna game wakichoka watakuwa ni uchochoro.Mwalimu Bechikha bado ana kazi ya kufanya, hii simba inakatisha tamaa. Wachezaji ni wazito ajabu halafu hawana stamina kabisa aisee
Ok ila ndio the second worse player kwa upande wa simba hizi 45 minutes. Anapoteza mipira tuu alafu hayupo proactiveYule ni forward siyo center forward ( striker) , forward anaweza kucheza winga ya kulia (7), kushoto ( 11), mshambuliaji wa kati (9) au kiungo mshambuliaji ( 10) ( second striker) kwa hiyo siyo tatizo.
Sasa unataka nianike privacy zangu humu mkuu. Amini hivyo. Simba hii ingekuwa zile enzi zetu tungewachapa mikwaju Msimbazi pale. Acha tu.Una kadi namba ngapi?
Ebwana kazi ya kocha ni kumpanga mtu kwenye nafasi ambayo inakuza ubora wake na kuficha madhaifu yake. Kwa mtazamo wngu jmaa hajawa effective huko pembeniPhiri akiwekwa benchi mnasema kwa nini hapangwi. Akipangwa mnasema kwa nini amechezeshwa wing. Kwa ufupi mashabiki wa kizazi cha Manara kuwa msemaji wa timu hizi hamkosi lawama
Hawatakuelewa washabiki maandazi, wachezaji walioboronga dkk 45 ni Bocco, Moses Phiri na Kennedy Juma.Ok ila ndio the second worse player kwa upande wa simba hizi 45 minutes. Anapoteza mipira tuu alafu hayupo proactive