FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Hatari...sijaelewa moses phiri kichezeahwa winga jamani ebu nisomesheni hapo maana naona mule kama anacheza kinyonge sana
 
Umeona makosa naoyasema lakini ya passa accuracy, poor communication na kutojipanga vizuri kwenye nafasi zao??
Tengeneza timu Yako toa lawama za kijinga, singida wanakuja kwa nguvu na rafu za kutosha bado una lalamika?

Huko mbele wamtoe Bocco tutapata goli.
 
Back
Top Bottom