Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Aweee...msalimie litle lion wetu japo baba yake ni Yanga..Simpendi Onana...
Luis Namkubali Sana japo mi n Yanga lakini my little boy Nimmempa jina la Miquissone kumuenzi jamaa.. natamani arudi kwenye kiwango chake cha zamani