FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Msaada tutani, hivi kombe la mapinduzi cecaFa inalijua? Sizungumzii caf wala fifa,
 
Kuna ujinga wa kufungwa goli dakika za jioni kama ilivyo kawaida yao. Kuna wachezaji wameingia sasa hivi lakini wavivu flani hivi.
 
Back
Top Bottom