FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Ball possession 57% kwa Simba 43% SFG

Goli 2 Saafi , + Clean sheet

Ila itakuja mijitu Hamnazo itasema Simba hawakucheza Vizuri
Achana naooo...mimi huwa siwasikilizii wanaoidiscus Simba kabisaaa...mimi nimeshaamua kuipenda hunambii kitu..kuna ups and down ndio ila sio vya kushangaza kwny michezo..
 
FB_IMG_1704309822455.jpg
 
Jamani nimerudia haya magoli kuyaangalia Azam Instagram..wacha niseme tuu Willy Esomba onana hilo ni goli la kideoo...na Luis hilo guu shoto ni goli la maangamizi la haulaaaaaaaaa.....
Usiku mwema jamani
Kwako....
Labani og unateseka ukiwa umechomekea au umevaa msuli??
 
Kabla sijaondoka hivi mliokuwa mnamsema Baba Ester? Hivi mnamaanisha au? Toka nianze kuangalia mpira wa Simba Assists nyingi za magoli ya Simba ni kutoka kwa Shomari kapombe...muwe na apprecition sio kila siku utaamka sawa..ila angalia classy ya mchezaji..
 
Back
Top Bottom