FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Hizi goli mbili niliziona mapema.
Hongera sana Chama langu.
 
Singida walikamia wakadhani mnyama ni saizi yao.
PSX_20240103_224554.png

Robo fainali! game ya APR tucheze show off
 
Kabla sijaondoka hivi mliokuwa mnamsema Baba Ester? Hivi mnamaanisha au? Toka nianze kuangalia mpira wa Simba Assists nyingi za magoli ya Simba ni kutoka kwa Shomari kapombe...muwe na apprecition sio kila siku utaamka sawa..ila angalia classy ya mchezaji..
Huyu anastahili dk zote 90
 
Magoli yote ya Simba mnyama
 
Jamani nimerudia haya magoli kuyaangalia Azam Instagram..wacha niseme tuu Willy Esomba onana hilo ni goli la kideoo...na Luis hilo guu shoto ni goli la maangamizi la haulaaaaaaaaa.....
Usiku mwema jamani
Kwako....
Labani og unateseka ukiwa umechomekea au umevaa msuli??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii
 
Jamani nimerudia haya magoli kuyaangalia Azam Instagram..wacha niseme tuu Willy Esomba onana hilo ni goli la kideoo...na Luis hilo guu shoto ni goli la maangamizi la haulaaaaaaaaa.....
Usiku mwema jamani
Kwako....
Labani og unateseka ukiwa umechomekea au umevaa msuli??
Hahahahaha kavaa msuli yule
 
Back
Top Bottom