FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Uto wameshajijaza ujinga kwamba timu yao ni bora sana - sasa wacha waendelee kujidanganyaa, siku wakipigwa wasije wakaseme Pacome hayupo - wamwite fastaa awepo.
 
  • Viongozi na benchi la ufundi la Simba ongeeni na Kanoute aache ujinga wa kubishana na waamuzi kila saa uwanjani wakati yeye kepteni. Mkipuuza puuzeni lakini ipo siku ataigharimu timu siku akikutana na waamuzi wakorofi hasa ukizingatia kuwa anabishana na waamuzi huku anacheza rafu za hovyo hovyo kwa hiyo kadi nyekundu ni fasta tu.
  • Ally Salimu naye aambiwe aache ujinga wa kupoteza muda kijinga kabisa wakati dakika bado nyingi na timu inaongoza goli mbili matokeo yake amepata kadi bila sababu za msingi. Ajifunze kwa makipa wengine namna ya kupoteza muda kwa kutumia akili.
 
Uto wameshajijaza ujinga kwamba timu yao ni bora sana
Hawa jamaa leo wanafuta uzwazwa watazindua channel yao huko whatsapp ili waanze kukimbizana na timu kubwa kubwa duniani.

Follow channel yao huko 😂😂🏃🏃‍♂️
 
Mkoko wetu ulizingua sana, back pass zilizidi
Hakuna mahali mngeenda! kwa kifupi Simba na yanga zikiamua kuingia kwenye haya mashindano serious watakuwa wanabadilishana nani achukue this time na nani achukue next time.

Bado kwa bongo hatujawa na timu serious za kupambana na Simba au Yanga.
 
Azam wapo vizuri, we subiri round zinazofata wakikutana na Simba au Yanga. Singida jana sijui waliiogopa Simba ama vipi, pasi nyingi kinoma zilipotea. Simba pale mbele wangekuwa vizuri walikuwa wanaondoka na magoli mengi tu.
 
Back
Top Bottom